PICHA ZA MATUKIO YA HARUSI YA SANGA ONE
SANGA ONE KUSHOTO NA MPAMBE WAKE MR NDENGA WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA KWENYE UKUMBI WA KANISA KATOLIKI BOMBAMBILI
MAHARUSI SANGA ONE NA FELISTA NGONYANI WAKIIMBA NYIMBO YA KWA NEEMA TUU HUKU WAKISHANGILIWA NA MAJIRANI ZAO NYUMBANI KWAO BOMBAMBILI
WAPAMBE WA HARUSI YA SANGA ONE MR AND MISS NDENGA WAKIINGIA UKUMBINI
Chapisha Maoni