WAKULIMA WA KIGONSERA WAKICHEZA NGOMA MARA BAADA YA VIONGOZI WA SIDO KUKAGUA MASHAMBA DARASA
Wakulima hao wakifurahi baada ya kuona mashamba darasa yao ya kilimo cha mbaazi,mahindi, alizeti na mahindi yalivyostawi kutokana na kupandwakitaalamu na wataalamu wa kilimo kutoka katika mradi wa MUVI
Chapisha Maoni