Mgombea nafasi ya UMEYA Golden Sanga akikabidhiwa risiti ya gharama za fomu kutoka kwa Restuta
Kitabu cha orodha ya wagombea wa nafasi ya Umeya na hapo ndani jina la mgombea Golden Sanga likiwa limeandikwa namba moja na kusainiwa mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo
Sekretari wa Ofisi ya CCM Songea Mjini Restuta akihesabu fedha shilingi laki tatu ambazo alikabidhiwa na Golden Sanga ambaye ni Diwani wa Kata ya Bombambili kwa ajiri ya malipo ya gharama za kuchukulia fomu ya kugombea UMEYA wa Manispaa ya Songea
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni