0
 Wanavikundi wakiwa kwenye majadiliano mbalimbali kuhusu mada walizofundishwa


Vikundi vitano kutoka katika Kata tano za Wilaya ya Songea vimepata Mafunzo yenye lengo la kujengewa uwezo wa kiuongozi na kiutawala              

Mratibu Mradi wa MUVI Mkoa wa Ruvuma Ralph Kananga alivitaja vikundi hivyo kuwa ni Mapinduzi kutoka kata ya Peramiho, Kikundi Mama kutoka kata ya Matimira, Tubadilike kutoka kata ya Mpitimbi, Muungano  kutoka Kata ya Mpandangindo  na Kikundi cha Usindikaji kutoka Mtyangimbole

Kananga alisema pia Mafunzo hayo yamewashirikisha Maafisa Maendeleo kutoka katika Kata hizo lengo likiwa ni ushirikishaji katika kuviendeleza vikundi hivyo katika maeneo yao

Chapisha Maoni

 
Top