Mwezeshaji wa mafunzo hayo ambaye pia ni Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Songea Judith Ngowi akiwasikiliza wachangia wa mada yake |
Afisa Maendeleo ya Jamii kata ya Peramiho Primin Mbilinyi wa kwanza kushoto akiteta jambo na Omary Ngwawile ambaye ni Mkulima wa Kikundi cha Mapinduzi Peramiho B
Wanavikundi wakimsikiliza kwa umakini Mwezeshaji katika mafunzo hayo
Afisa Maendeleo ya Jamii kata ya Peramiho Primin Mbilinyi wa kwanza kushoto akiteta jambo na Mwezeshaji Judith Ngowi
Chapisha Maoni