0
Nani anampa mamlaka Mkuu wa Wilaya au Afisa wa Polisi kushika kamera ya mwanahabri? nani ana mamlaka ya kuingilia uhuru wa mwanahabari anayezingatia sheria na taratibu kufanya kazi yake? 

watu wanavunja Katiba ya mwaka 1977 na Mikataba mbalimbali ya Kimataifa ikiwepo tamko la Haki za Biandamu la mwaka 1948 / article 19. bado wanahabari wamekaa kimya hawachukui hatua kwa jambo nzito kama hilo

Chapisha Maoni

 
Top