Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt Binilith Mahenge wa kwanza kutoka kulia akimsikiliza Afisa Mahusiano wa Mantra Tanzania Khadija Pallangyo hayupo pichani, wa kwanza kulia ni Mkandarasi aliyetengeneza Madawati 500 na katikati ni Mkurugenzi Mtendaji Mantra Tanzania LTD Fred Kibodya
Madawati 500 yenye thamani ya milioni 40 yaliyofadhiriwa na kampuni ya Mantra Tanzania
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)





Chapisha Maoni